UFARANSA WAKIINGIA FAINALI, RONALDO ANAUMIA, ILIKUWA 1998 SASA 2016, ITAWASAIDIA TENA KUBEBA KOMBE?
Katika
fainali ya Kombe la Dunia 1998, tegemeo la Brazil, Ronaldo di Lima
aliugua kifafa, akashindwa kucheza na Brazil ikafungwa mabao 3-1 kwenye
Uwanja dimba la Stade de France jijini Paris.
Leo
katika dimba hilohilo, Cristiano Ronaldo ameumia baada ya kugongwa goti
na Dimitr Payet. Ameshindwa kucheza na kutolewa nje katika fainali ya
Kombe la Euro. Je, Ufaransa watashinda tena kwa kupata bahati nzuri
inayosaidia kuwapunguza kasi wapinzani?
Post a Comment