URENO BILA RONALDO, YAITWANGA UFARANSA 1-0 NDANI YA DAKIKA 120 NA KUBEBA UBINGWA EURO 2016
Pamoja
na kuumia kwa nahodha wake, Cristiano Ronaldo katika dakika ya 16 tu,
Ureno imefanikiwa kuwatwanga wenyeji Ufaransa kwa bao 1-0 na kubeba
ubingwa wa Euro 2016.
Ureno
ambao walipata sare tatu hatua ya makundi na kuvuka hadi hatua ya 16
bora, wamepambana bila Ronaldo kwa dakika zote zikiwemo 30 za nyongeza
baada ya sare ya 0-0 katika dakika 90 na kufanikiwa kubeba kombe hilo.
Portugal (4-1-3-2): Patricio
8, Soares 7, Pepe 9, Fonte 8, Guerreiro 8, Carvalho 8, Sanches 7 (Eder
78, 9), Silva 7.5 (Moutinho 60, 7), Joao Mario 7, Nani 7, Ronaldo 6
(Quaresma 25, 7).
Subs not used: Lopes, Alves, Carvalho, Vieirinha, Andre Gomes, Rafa, Eliseu, Eduardo, Danilo.
Goal: Eder 109
Booked: Patricio, Soares, Fonte, Guerreiro, Carvalho, Joao Mario.
Manager: Fernando Santos 9
France (4-2-3-1):
Lloris 7, Sagna 6.5, Koscielny 7, Umtiti 7, Evra 6, Pogba 5, Matuidi
7.5, Sissoko 8 (Martial 110, 6), Griezmann 5.5, Payet 7 (Coman 58,
7.5), Giroud 5.5 (Gignac 78, 7).
Subs not used: Mandanda, Jallet, Rami, Kante, Cabaye, Schneiderlin, Mangala, Digne, Costil.
Booked: Koscielny, Umtiti, Pogba, Matuidi.
Manager: Didier Deschamps 6
Referee: Mark Clattenburg (England) 7
Attendance: 75,868
Post a Comment