Man United wamefanikiwa kumsajili Henrikh Mkhitaryankutokea Borussia Dortmund kwa mkataba wa miaka minne, Mkhitaryan anakuwa mchezaji wa tatu kujiunga na Man United baada ya kusajiliwa kwa Eric Baillykutoka Villarreal na Zlatan Ibrahimovic kama mchezaji huru.
Post a Comment