SUMAYE: Magufuli Anapandikiza Chuki na Hasira Katika Jamii

Amesema vitendo hivyo badala ya kuleta amani na utulivu katika jamii ndio vinazidi kuleta hasira na chuki.
Ameongezea kusema kama rais hataki kusemwa basi atangaze rasmi kuwa yeye
ni dikteta na atakaye mkosoa atakatwa kichwa au kutupwa gerezani
Video:
Post a Comment