MOURINHO AONYESHA CARRICK BADO ANAHITAJIKA, AMPA MKATABA WA MWAKA MMOJA MAN UNITED
Kiungo mkongwe wa Manchester United, Michael Carrick ameongeza mkataba wa mwaka mmoja.
Carrick
anaongeza mkataba wa mwaka mmoja chini ya Kocha mpya, Jose Mourinho
huku wengi walikuwa wakiamini itakuwa vigumu kupewa nafasi hiyo.
Kiungo huyo mwenye miaka 34, amekuwa uti wa mgongo wa kiungo cha timu hiyo ambayo ni mabingwa wa Kombe la FA.
Carrick alijiunga na Man United kwa mara ya kwanza mwaka 2006 akitokea 2006.

Post a Comment