MAZOEZI YA MWISHO YA STARS KABLA YA KUWAVAA MISRI KESHO
Wakati
Watanzania wamekuwa wakihimizwa kujitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa
Taifa jijini Dar es Salaam kuiunga mkono Taifa Stars wakati ikiivaa
Misri katika mechi ya kuwania kucheza Kombe la Mataifa Afrika, timu hiyo
leo imefanya mazoezi ya mwisho.
Stars imefanya mazoezi yake ya mwisho kwenye uwanja huo, tayari kabisa kwa mechi ya kesho.
Wachezaji wa Stars walionekana wanajiamini na wako tayari kwa ajili ya mechi hiyo ya kesho. Kikubwa ni kwenda kuwaunga mkono tu.
Post a Comment