KIPRE AHAMIA UARABUNI, AONEKANA AKIPIGA BATA NA MKEWE...
Huku gumzo la kwamba anakwenda Yanga, Oman au anabaki Azam FC likiendelea, mshambuliaji nyota wa Azam FC, Kipre Tchetche ameamua kwenda Dubai kula bata.
Kipre
raia wa Ivory Coast ameonekana ‘akila maisha’ na mkewe Prisca pamoja na
kijana mmoja katika moja ya hoteli za kifahari za Dubai.
Tayari
Azam FC ilishatoa ufafanuzi kwamba Kipre ni mali yake, lakini
inaonekana Yanga imekuwa ikitamani kumjumuisha kwenye safu yake.
Post a Comment