HATIMAYE MANCHESTER UNITED YAMTWAA BAILLY, NI YULE RAIA WA IVORY COAST
Hatimaye
Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho amekamilisha alichokuwa
anakitaka baada ya kumsajili beki Eric Bailly tai a wa Ivory Coast.
Bailly
aliyekuwa anakipiga Villarreal au Manyambizi wa Hispania, ana umri wa
miaka 22 tu na Man United imemwaga pauni million 30 kumpata katika
mkataba wa miaka minne.
TAKWIMU:
Espanyol B (2013-14) – Mechi 21
Espanyol (2014-15) – Mechi 5,
Villarreal (2015-) – Mechi 46, bao 1
Ivory Coast (2015-) –Mechi 15
Post a Comment