Video: Miss IFM kwa mwaka 2016 alivyopatikana na burudani kutoka kwa Navy Kenzo
Usiku wa May 27 2016 ndio ilikuwa siku ya chuo cha usimamizi wa fedha
(Institute of Financial Management) kumtafuta mrembo atakayerithi taji
la umiss lililokuwa linashikiliwa na Miss IFM 2015 Sophia Basil Macha,
mchujo ulifanyika na kupatikana TOP 5 na hatimae Glory Gideon
akafanikiwa kushinda taji hilo.
Post a Comment