TANCDA YAPIMA AFYA ZA WABUNGE DODOMA
Mbunge
wa Viti Maalum, Bupe Mwakang'ata (CCM) Mkoa wa Rukwa, akipimwa mapigo
ya moyo wakati wa programu maalumu ya wabunge kupimwa afya zao. Programu
hiyo ilifanywa bure na Shirikisho la Vyama vya Magonjwa yasiyo ya
Kuambukiza katika Zahanati ya Bunge, Dodoma Mei 28, 2016.
Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini, Leonidas Gama akipimwa afya na Muuguzi Asha Shao bungeni Dodoma
Mbunge
wa Viti Maalum, Joyce Sokombi akipimwa afaya na Muuguzi kutoka
Hospitali ya Mkoa wa Dodoma Asha Shao. Katikati ni muuguzi mwingine
Christina Chamwela
Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini, Costantine Kanyasu akipimwa mapigo ya moyo
Mbunge Kanyasu akipimwa kimo
Mbunge wa Jimbo la Nachingwe, Hassan Masala akipimwa kimo
Mbunge wa Jimbo la Makambaku, Deo Sanga akipimwa afya
Baadhi ya wabunge wakipata ushauri nasaha.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Post a Comment