STAA WEMA SEPETU AJA KIVINGINE KATIKA JAMII YAKE

Miss Tanzania huyo wa zamani na
muigizaji wa filamu, ameanzisha mradi mpya alioupa jina ‘Wema na Jamii’
ambapo ameanza kuzunguka kwenye shule mbalimbali jijini Dar es Salaam
kuongea na wanafunzi na kuwapa vitu mbalimbali.
Yeye mwenyewe anasema #WemaNaJamii #MkonoWaBaraka #MtotoWakoNiWangu. Tazama picha hizo chini.




Post a Comment