Mashabiki
wapatao 20,000 wametolewa nje kwenye Uwanja wa Old Trafford na
kusababisha kuchelewa kuanza kwa mechi katyi ya Manchester United dhidi
ya Bournemouth.
Taarifa inaeleza ni hofu ya bomu ndiyo iliyosababisha hali hiyo baada ya kuonekana kwa mzigo mdogo ambao haukuwa na mwenyewe.
Post a Comment