Diamond na Mafikizolo walivyoitingisha Dodoma… Waziri Nape kahudhuria pia
May 12 2016 kundi maarufu la muziki kutoka Afrika Kusini Mafikizolo pamoja na staa wa bongofleva Diamond Platnumz waliitoa burudani ya nguvu kwa watu wao wa Dodoma kwenye show iliyoitwa ‘Colors of Afrika’ iliyofanyika kwenye chuo kikuu cha UDOM kwa usimamizi wa Vodacom ambao wameitambulisha kwa Watanzania Internet ya 4G.
Watu wa nguvu Dodoma
Waziri Nape Nnauye
Diamond on stage
Diamond Platnumz na Mo j
Le Mutuz
Kifesi kazini
Diamond alipokea zawadi ya picha kutoka kwa shabiki wake
PICHA NA MILLARDAYO.COM

Post a Comment