COPA AMERICA, MICHUANO YA WANASOKA WANAOTAWALA DUNIA, ITAONEKANA LIVE NDANI STARTIMES PEKEE
Ukizungumzia
wachezaji wanaong’ara zaidi duniani kwa sasa au wanaoongoza kwa
kuchukua tuzo kubwa duniani ni wale wanaotokea Amerika Kusini.
Mfano
ni nchi za Brazil, Argentina, Chile, Uruguay na nyinginezo. Huko
utawakuta watu kama akina Lionel Messi, Neymar, Luis Suarez, Alexis
Sanchez na wengine wengine wanaotamba katika ligi kubwa za Ulaya.
Inapofikia
michuano ya bara la Amerika Kusini na ukanda wa kati, maana yake
unawakutanisha mawgiji, hiyo mi michuano ya Copa America.
Copa
America ndiyo michuano mikongwe zaidi ya mabara duniani. Ilianza mwaka
1916. Awali ilifanyika kila mwisho wa mwaka na baadae ikajitangaza na
kuwa sababu ya uandaaji wa kombe la dunia 1930.
Michuano
hii inatarajia kuanza Juni 4 hadi 27, uhondo ambao utarushwa moja kwa
moja na StarTime, itakuwa ni kazi kubwa kwa wapenda soka kukubali
kuikosa.
Inafanyika
nchini America, ikishirikisha timu 16 kwa kujumlisha mashirikisho
mawili ya mabara ya Amerika Kusini na Kaskazini huku kukiwa na miji 10
ambayo mechi zake zitachezwa.
Michuano
hii inajitosheleza na imekuwa ikizaa matunda kwa timu za taifa za
ukanda huu, kwa mfano Uruguay walikua vizuri sana katika kombe la dunia
la 2010 Afrika Kusini wakati Colombia wakitesa katika fainali
zilizopita. Timu hizi kutoka ukanda huu ni nadra sana kutolewa hatua za
awali za michuano ya kombe la dunia.
Makundi manne ya Copa America haya hapa:
Kundi A:
USA, COLOMBIA, PARAGUAY NA COSTA RICA
Kundi B:
BRAZIL, PERU, HAITI na EQUIDOR
Kundi C:
MEXICO, URUGUAY, JAMAICA na VENEZUELA
kundi D
ARGENTINA, CHILE, PANAMA na BOLIVIA
Michuano hii itarusha na StarTimes pekee kupitia channel za michezo
#CopaAmericaOnStarTimes #Exclusive
Download app ya StarTimes kujishindia zawadi www.startimes.com
Download app ya StarTimes kujishindia zawadi www.startimes.com


Post a Comment