Yanga yaichapa Mwadui bao 2-1
Wachezaji wa timu ya Yanga wakishangilia.
TIMU ya Yanga leo imeshinda bao 2 -1 dhidi ya Mwadui katika Uwanja wa
Taifa jijini Dar. Wafungaji kwa upande wa Yanga ni Msuva 3′ na
Niyonzima 87 na Mwadui ni Sabati 14. Yanga wamefikisha pointi 56 leo
wakiwa nyuma ya Simba anayeongoza Ligi Kuu kwa Pointi 57.Matokeo mengine ni Mtibwa Sugar 0 – 1 Azam FC mfungaji wa timu ya Azam ni John Bocco dakika ya 62 Uwanja wa Manungu, Morogoro.

Post a Comment