BARCELONA YACHAPWA 2-0 NA ATLETICO LIGI YA MABINGWA ULAYA
Antoine Griezmann amepiga mabao mawili na kuiwezesha Atletico Madrid kufanya mawili makubwa kabisa usiku huu.
Atletico
Madrid imefanikiwa kuvuka na kucheza nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa,
pili timu hiyo imeivua ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya Barcelona.
Katika
mechi ya kwanza ikiwa nyumbani, Barcelona ilishinda kwa mabao 2-1.
Hivyo kwa ushindi wa leo wa Atletico ikiwa nyumbani, maana yake
imeing'oa Barcelona kwa jumla ya mabao 3-2. Cheki pichaaaz.

Post a Comment