Mwili wa Papa Wemba wawasili DRC jana
Mamia ya watu wamekusanyika jana nje ya uwanja wa ndege wa Kinshasa kuupokea mwili wa mwanamuziki Papa Wemba uliowasili nchini humo kutoka Abidjan
Mwanamuziki huyo ambaye ametajwa kuwa mmoja ya waanzilishi wa muziki wa kizazi kipya cha Soukous alifariki dunia April 24 baada ya kuanguka jukwaani akiwa anatumbuiza huko Ivory Coast
Papa Wemba anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumanne ya wiki ijayo





Post a Comment