Mvua zasababisha madimbwi Barabara ya Kijitonyama - Mabatini
MVUA zinazoendelea kunyesha katika Jiji la Dar es
Salaam na maeneo mengine zimesababisha uharibifu wa miundombinu ya barabara
hususan barabara inayopita katika Kituo cha Polisi cha Kijitonyama ‘Mabatini’.
Kamera yetu imenasa picha zinazoonesha sehemu
korofi hasa iliyoharibika na kuchimbika vibaya kama inavyoonekana pichani:
Post a Comment