Video: Maua Sama ...Mkali wa Mahaba Niue aeleza safari yake ya Muziki na Mahusiano
STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Maua Sama kwa mara ya kwanza
amefungukia mafanikio yake kimuziki kwa kusema kuwa bila ya staa wa
muziki wa Bongo Fleva, Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’ asingekuwa alipo saa.
Akizungumza katika kipindi cha Mtu Kati kinachorushwa na Global TV Online, Maua anayebamba na Ngoma ya Mahaba Niue alianza kwa kusimulia kwa jinsi alivyokutana na Mwana FA.
“Ilikuwa kitu cha ajabu kwangu. Wimbo wangu wa kwanza kabisa kuuimba ulikuwa So Crazy na kipindi nimeuimba nilikuwa chuoni Moshi, basi marafiki zangu wakamtumia wimbo huo MwanaFA bila mimi kujua na baada ya wiki nikashangaa kupigiwa simu na Mwana FA akaniambia amependa ninavyoimba na kwamba yupo tayari kuni-meneji na pia kunishirikisha,” alisema Maua.

Post a Comment