Shamsa Ford Amwaga Radhi Ukumbini

Shamsa aliyekuwa kivutio ukumbini hapo alionekana kukongwa na nyimbo za msanii Belle 9 ambapo kila ulipopigwa wimbo aliinuka akiwa na glasi yake mkononi na kukata mauno kama aliyekuwa ameahidiwa zawadi nono.
Chanzo:GPL
Post a Comment