Ruby akifanya makamuzi yake mbele ya maelfu ya mashabiki wake waliokuwa wamejitokeza ndani ya Ukumbi wa Maisha Basement.
Ruby akiwajibika.
Mashabiki wakifuatilia kwa makini shoo hiyo.
Baadhi ya mashabiki wakicheza.
…Wakiwa na zawadi zao muda mfupi baada ya kupewa na uongozi wa Maisha Basement Club.
Ruby akipagawisha.
Mashabiki wakicheza kwa hisia kali.
…Wakiendelea kujimwaya.
USIKU wa kuamkia leo ulikuwa wa aina yake kwa msanii wa Bongo, Fleva
Ruby, alipojumuika na mashabiki zake ndani ya Ukumbi wa Maisha Basement
Makumbusho jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kusherehekea kwa pamoja
Siku ya Wapendanao yaani Valentine’s Day.
Post a Comment