Picha 18 kilivyo happen usiku wa Muzika Vestival Mwanza….
Kwenye usiku wa Valentine Day Mwanza nao walikuwa na burudani ya nguvu kutoka kwa mastar wa Nigeria na hapa Tanzania, Nigeria Tekno na Seyi Shay wametoa burudani kwa mara ya kwanza kwa watu wangu wa Mwanza hapa nyumabni tulikuwa na wakali Juma Nature na Ommy Dimponzi, Muzika festival ndio walitusogeza jembe beach pamoja kutazama burudani ya nguvu…
Watu wangu na shangwe la Muzika Festival
Juma Nature akawasili Muzika Festival
Ommy Dimpozi na Seyi Shay
Juma Nature kwenye stage
Star wa Nigeria Sey Shay kwenye shangwe na watu wake
Kwenye shangwe la Tekno na watu wake
Ikafika time ya achia Body na Ommy Dimpozi
Post a Comment