ad

ad

MALAGA YAIBANA MADRID SARE YA 1-1, RONALDO AFUNGA, HALAFU AKOSA PENALTI



Real Madrid imezidi kujiweka katika wakati mgumu katika mbio za kuwania ubingwa wa La Liga baada ya kubanwa kwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Malaga.


Cristiano Ronaldo alifunga bao moja lakini akakosa penalti na Malaga wakaonyesha wanaweza na hawakubali kufungwa nyumbani.








No comments

Powered by Blogger.