E FM 93.7 imemtambulisha mtangazaji mpya ambaye Tunu Hassan Shenkome maarufu kama Sports Lady.
Pichani
Mkuu wa vipindi vya michezo E FM, Maulid Kitenge akimtambulisha
mtangazaji huyo mpya wa kike wa michezo. Wengine pichani ni Ibrahim
Masoud Maestro na Oscar Oscar.
Post a Comment