Abiria wanusurika kuzama baharini baada ya Pantoni kuzima ghafla Dar
Taarifa
zilizo make headline muda huu ni pamoja na hii ya Pantoni kuzima ghafla
Dar na kulazimika abiria wajitose baharini kuokoa maisha yao, hadi sasa
haijafahamika athari iliyopatikana. Endelea kukaa karibu na
millardayo.com ili zote zitakazonifikia iwe rahisi kukusogezea. Na hizi
ni picha za mwanzo..!
.
Post a Comment