Rose Ndauka katuletea magazine yake inaitwa ‘Rozzie’
Baada ya kimya cha muda mrefu mrembo kutoka kiwanda cha filamu Bongo Rose Ndauka amekuja na ujio mpya wa Hard Copy ya Magazine yake ya Rozzie ambayo awali ilikuwa ikipatikana mtandaoni pekee, Rose amezindua Magazine yake ya Rozzie leo January 29 na itakuwa ikipatikana bure kila mwezi kwa watanzania wote.
Rose
amefanya uzinduzi na kutoa copy ya kwanza ya Magazine yake, ambayo
lengo la Magazine hiyo itakayokuwa inatolewa kila mwezi ni kuburudisha
na kuelimisha mashabiki wake kupitia Magazine. Hizi ni pichaz za
uzinduzi na muonekano wa kwanza wa Magazine ya Rozzie.
Rose Ndauka na Meneja wake Ramadhani
Post a Comment