Karrueche Tran anaswa akidendeka na Christina Milian
Karrueche Tran (kushoto)
akibusiana na Christina Milian baada ya kukutana katika Klabu ya The
Nice Guy iliyopo magharibi mwa Hollywood nchini Marekani jana.
Karrueche Tran na Christina Milian wakionyeshana mahaba.
Christina Milian wakati akiwasili kwenye Klabu ya The Nice Guy jana.
Karrueche Tran akiwa katika vazi la sweta kwenye eneo la Klabu ya The Nice Guy jana.
Mwigizaji na mwanamitindo wa nchini Marekani, Karrueche Tran jana
jioni alinaswa akidendeka na mpenzi wake wa kike Christina Milian katika
Klabu ya The Nice Guy iliyopo magharibi mwa Hollywood nchini Marekani.Warembo hao waliweka wazi mahusiano yao mwaka jana baada ya Karrueche kuachana na aliyekuwa mpenzi wake, mwanamuziki Chris Brown huku Christina akiwa tayari amembwaga mpenzi wake wa zamani mwanamuziki Lil Wayne.
Mbali na mahusiano hayo, lakini inaonyesha Karrueche mwenye umri wa miaka 27 bado anapambana na changamoto za maisha ya mapenzi ya jinsia moja kitendo kilichopelekea jana aandike katika ukurasa wake wa Twitter kuwa kwa sasa amefungua milango ya mahusiano mapya na kwamba yupo tayari kumpokea mpenzi baada ya kukaa mpweke kwa muda mrefu japo alidai itakuwa vigumu kumpata mpenzi wa kweli ambaye ataweza kumpa penzi ya dhati.

Post a Comment