Alichosema Zitto Kabwe baada ya kompyuta ya Kamishna Mkuu TRA kuibiwa!
Kompyuta ya Kamishna Mkuu TRA imeibiwa na wezi waliovunja Ofisi. Gazeti
la Mwananchi limeandika leo. Leo hiyo hiyo Ikulu imetoa taarifa kuwa
Kaimu Naibu Kamishna wa TRA ndg. Maswi amerejeshwa Manyara baada ya
kumaliza kazi maalumu aliyotumwa TRA. Hizi ni sarakasi. Hizi ni drama.
Serikali haiendeshwi kwa drama

Post a Comment