ad

ad

Zitazame Picha za Waziri Nape Alivyozindua Filamu ya Home Coming



2Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akihojiwa na  mtangazaji mashuhuri wa Azam TV Taji Liundi muda mfupi kabla ya kuzindua filamu mpya ya Home Coming kwenye ukumbi wa Century Cinema ,Mlimani  City jijini Dar es Salaam.5Wadau wa Sanaa na Utamaduni wakisubiri kushuhudia uzinduzi wa filamu mpya ya Home Coming.6Mmoja wa washiriki wa Filamu hiyo ya Home Coming ,Susan Lewis maarufu kama Natasha
113Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akihojiwa muda mfupi kabla ya kuzindua Cinema ya Home Coming.15Muigizaji mkuu wa filamu ya Home Coming Daniel Kijo (kushoto) akisalimana na  mgeni rasmi katika uzinduzi wa filamu hiyo Waziri wa habari, Utamaduni,  Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye mara baada ya uzinduzi wa filamu hiyo  kufanyika kwenye ukumbi wa Century Cinema, Mlimani City jijini Dar es  Salaam.5Wadau wa filamu waliofika Mlimani City kwenye uzinduzi wa filamu hiyo.18…wakipiga picha ya pamoja na Mh. Nape Nnauye
17…wadada wakiji-selfisha.1614…wadau wakiendelea kufotoa picha za ukumbusho wa tukio hilo.13Taji Liundi (katikati) akimhoji mwigizaji maarufu wa Bongo Movies, Ahmed Olotu ‘Mzee Chilo’ (kushoto), kulia ni muigizaji mkuu wa filamu ya Home Coming iliyozinduliwa jana, Daniel Kijo.12Mzee Chilo’ na Daniel Kijo.1098
Powered by Blogger.