Video Queen anayefanya pia filamu, Asha Salum ‘Kidoa’ akiwa
katika mapozi tofauti na ameibuka mshindi wa tuzo ya Ijumaa Sexiest Girl
2015 na kuwafunika Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Vanessa Mdee ‘Vee ndani
ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini
Dar hivi karibuni.
Post a Comment