ad

ad

Ostaz Juma anaswa na wasanii wa Koffie wakila bata


Koffi Olomide (1) Koffi Olomide (2)Baadhi ya wasanii wa Kundi la Quartier Latin la Koffie Olomide kutoka DRC wakila bata leo mchana kabla ya onesho lao la Escape One hapo baadaye.

Koffi Olomide (3)Wasanii hao wakiwa na Ostaz Juma Namusoma (aliyesimama kulia), wakila bata.

Koffi Olomide (4) Koffi Olomide (5) Koffi Olomide (6)Wasanii hao wakijadiliana jambo huku wakipata vinywaji katika Hoteli ya Shamool iliyopo Sinza, Dar.

Baadhi ya wasanii wanaounda Kundi la Quartier Latin linaloongozwa na mwanamuziki nguli kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Antoine Christophe Agbepa Mumba 'Koffie Olomide' mchana wa leo wamenaswa wakila bata katika Hoteli ya Shomool iliyopo Sinza jijini Dar, sambamba na mdau mkubwa wa burudani Bongo, Ostaz Juma Namusoma ikiwa ni saa chache kuelekea katika onesho lao la leo usiku. Koffie Olomide anayetamba na kibao chake cha Selfie leo atazikonga nyoyo za mashabiki wa Dar na viunga vyake katika onesho lake la kusherehekea miaka 16 ya Clouds Media litakalofanyika Escape One, Mikocheni jijini Dar.
Powered by Blogger.