Hatimaye Tiwa Savage amuanika sura mtoto wake
Staa wa muziki kutoka Naija, Tiwa Savage.
BAADA ya kukaa miezi kadhaa bila kuonesha sura ya mtoto wake tangu
ajifungue, staa wa muziki kutoka Naija, Tiwa Savage hatimaye ameamua
kumuanika sura mwanaye.Staa huyo ambaye ni msichana wa kwanza kuingia Lebo ya Mavin inayomilikiwa na Don Jazzy aliamua kuwapa zawadi ya Sikukuu ya Krismasi mashabiki wake kwa kuanika sura ya mwanaye ambaye anamfananisha kama mtoto wa Krismasi.
Post a Comment