Kidoa akibidhiwa kitita chake cha Ijumaa Sexiest Girl 2015
Mkurugenzi wa Hamandobe Distributor, Joanita akimkabidhi kitita cha Sh. laki tano mshindi, Kidoa.
Kidoa akikabidhiwa kitita mbele ya Amran Kaima.
Mhariri wa GAzeti la Ijumaa na muandaaji mkuu wa shindano la Ijumaa Sexiest Girl 2015, Amran Kaima akimpa cheti, Kidoa.
Kidoa akiwa ameshikilia cheti chake baada ya kuzawadiwa.
Kidoa (kulia) akipewa tuzo ya Ijumaa Sexiest Girl 2015 na Joanita.
Kidoa akiwa katika pozi na kitita chake baada ya kukabidhiwa.
PICHA NA ANDREW CARLOS/GPL
Post a Comment