Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar, Suleiman Kova akiongea na ITV leo asubuhi, atangaza kustaafu rasmi jeshi la polisi, leo ni siku yake ya mwisho. Chanzo: ITV
Post a Comment