Malaika: Mi’ mbichi jamani, sina mtoto!
Mwanamuziki Malaika juzikati alitolewa
kwenye Shindano la Ijumaa Sexiest Girl 2015 kufuatia madai kuwa ana
mtoto na amekuwa akificha kuhusu hilo.
Alipobanwa kwa nini anadanganya hana
mtoto wakati ni heshima kwa mwanamke alisema: “Jamani nidanganye sina
mtoto ili iweje, kama yupo aliyenizalisha ajitokeze, mimi bado
mbichiii.”
Post a Comment