ad

ad

ENGLAND YATUA HISPANIA, YAFIKIA KWENYE HOTELI CHUMBA SH MILIONI 3


Ikiongozwa na nahodha wake, Wayne Rooney, England inasubiri kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Hispania leo.

Tayari imetua katika mji wa Benidorm nchini Hispania na kufikia katika hoteli iitwayo Asia Gardens.
Moja ya hoteli ghali, kwani usiku mmoja mtu anatakiwa kulipa pauni 1,450, zaidi ya Sh milioni 3.6.
Hoteli hiyo ni ya aina yake kutokana na utulivu wa hali ya juu, mazingira bora kabisa huku ikiwa na viwanja viwili vikubwa vya mchezo wa gofu.
ANGALIA MANDHARI.












Powered by Blogger.