ad

ad

Rais mteule wa Tanzania John Pombe Magufuli akabidhiwa cheti chake cha ushindi

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mh. Jaji wa Mahakama ya Rufaa (Mst) Damian Zefrin Lubuva (kulia) akimkabidhi cheti chake cha ushindi Rais mteule wa Tanzania John Pombe Magufuli (katikati) huku mgombea mwenza wake Samia Hassan Suluhu akiwa nyuma yake katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais mteule wa Tanzania John Pombe Magufuli baada ya kukabidhiwa cheti cha ushindi.


 Rais mteule wa Tanzania John Pombe Magufuli akisalimiana na aliyekuwa mgombea urais wa ADC, Chief Lutasola Yemba.












Powered by Blogger.