ad

ad

MSIKIE MOURINHO KUHUSIANA NA SUALA LA KUFUKUZWA, JAMAA ANA NYODO ASEE

Kocha Jose Mourinho wa Chelsea amesema kamwe hatakimbia Stamford Bridge eti kisa kile kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Southampton.

Lakini akasisitiza, kama wanataka kumfukuza, poa tu lakini watajuta kumfukuza kocha gwiji ambaye hawakuwahi kuwa naye.
Mourinho ameiambia runinga ya Sky hivi: “Moja, kamwe siwezi kukimbia, siwezi kukimbia majukumu yangu.”
“Pili kama klabu wanataka kunitimua, basi wafanye hivyo lakini watajuta kumfukuza kocha bora kama mimi.”
Licha ya kutangulia kufunga, Chelsea ikiwa nyumbani imekutana na kipigo hicho cha mabao 3-1 dhidi ya Southampton.
BOSI ANAANGALIA TU...

MOURINHO ANACHANGANYIKIWA....
Powered by Blogger.