BREAKING NEWS: KUBENEA MBUNGE WA JIMBO LA UBUNGO 2015-20
Saed Kubenea
ametangazwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo baada ya kuvuna kura 87,666
na kumwacha kwa mbali mpinzani wake ambaye alikuwa anashangilia toka
jana kuwa ameshinda, Didas Masaburi aliyepata kura 59,514.
Pamoja na Masaburi kujitangazia matokeo toka jana mitaani, hakuonekana katika eneo la kujumuisha kura na mpaka matokeop yanatangazwa muda mchache uliopita hakuwepo na hakusaini fomu za matokeo.
Pamoja na Masaburi kujitangazia matokeo toka jana mitaani, hakuonekana katika eneo la kujumuisha kura na mpaka matokeop yanatangazwa muda mchache uliopita hakuwepo na hakusaini fomu za matokeo.

Post a Comment