ad

ad

Mh.Lowassa aanza ziara Kagera kwa kishindo na kuahidi neema kwa wakulima.



Mgombea urais wa UKAWA Mh Edward Lowassa ameingia kwa kishindo katika mkoa wa Kagera na amesema akichaguliwa kuwa rais mikoa yenye uhakika wa uzalishaji ukiwemo wa kilimo inapewa kipaumbele kinachostahili na wakulima wanapewa mikopo ya kuanzia miaka 5 hadi 15 na wanakuwa mfano wa kuigwa katika kupambana na umaskini. Mh Lowassa leo amefanya mikutano katika majimbo ya Kerwa Karagwe, Muleba kusini na Muleba kaskazini
Powered by Blogger.