Dogo Janja anunuliwa gari na Madee...tumekuwekea hapa
Dogo Janja ni moja ya wasanii wenye historia ya kuanza muziki wakiwa na umri mdogo ukilinganisha na wasanii wengine walio katika game.
September 15 ndio siku ambayo Dogo Janja anasherehekea siku yake ya kuzaliwa, kama vipi unaweza kuiweka kumbukumbu ili ikifika tarehe hiyo mwakani na wewe umuandalie zawadi yake kabisa mtu wangu.. surprise kwenye zawadi alizozipata Dogo Janja kwa mwaka 2015 ni zawadi ya gari toka kwa msanii Madee, ambae amukua nae karibu kwa sehemu kubwa toka Dogo ameanza muziki.
Hiyo ndio moja ya post za Dogo Janja katika Ukurasa wake @Instagram baada ya kupokea zawadi yake >>> ‘Shukran Sana Mshua@madeeali Uko Mbalii Lakini Umenisuprise.. Sina Cha Kukulipq Zaidi Ya Kukuheshimu Daima.. Hakika saiv Barabarani Tutapigiana Honiii Tu Shukran Sanaaa Sanaa Sanaa MUNGU AKUWEKE‘ >> @dogojanjatz
Nimepata nafasi nyingine poa kabisa, pichaz za gari yenyewe kuanzia nje mpaka ndani hizi hapa kama hujazipata bado mtu wa nguvu.
Naomba nichukue nafasi hii kukuthibitishia kwamba kuna mengine kayaongea Dogo Janja, EXCLUSIVE utazipata any time yani kutoka kwa mtu wako wa nguvu, CreditL: millardayo.com

Post a Comment