NEC Yakamilisha Uandikishaji Wapiga Kura kwa BVR
Tume
ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kukamilika kwa zoezi la Uandikishaji
Wapiga Kura katika Daftari la Kudumu kwa kutumia mfumo wa BVR Mkoani Dar
es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi
Kailima Ramadhani zoezi hilio limefanikiwa kwa kiasi kikubwa licha ya
kuwepo kwa changamoto mbalimbali zilizojitokeza.

Post a Comment