Lowassa ahudhuria Mkutano wa Baraza Kuu la CUF jijini Dar leo
Mgombea Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akikumbatiana na Mgombea Urais wa Zanzibar
wa UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad,
kabla ya kuelekea kwenye Makao Makuu Chama cha Wananchi CUF, Buguruni
jijini Dar es salaam leo August 9, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Baraza
Kuu la Chama cha Wananchi CUF.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Mgombea Urais wa Zanzibar wa UKAWA
kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad na Wenyeviti
wenza wa UKAWA, Mh. James Mbatia na Dkt. Emmanuel Makaidi wakitembelea
kuelekea Makao Makuu Chama cha Wananchi CUF, Buguruni jijini Dar es
salaam leo August 9, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Baraza Kuu la Chama
cha Wananchi CUF.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Mgombea Urais wa Zanzibar wa UKAWA
kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, wakiwapungia
wafuasi wa Vyama vinavyounda UKAWA wakati wakielekea kwenye Makao Makuu
Chama cha Wananchi CUF, Buguruni jijini Dar es salaam leo August 9,
2015, kulikofanyika Mkutano wa Baraza Kuu la Chama cha Wananchi CUF.
Wengine walioambatana nao ni Wenyeviti wenza wa UKAWA, Mh. James Mbatia
na Dkt. Emmanuel Makaidi.
(PICHA NA MICHUZI BLOG)

Post a Comment