ad

ad

Batuli aeleza sababu za kutoolewa kisa ni ustaa!




STAA wa filamu Bongo, Yobnes Yusuph ‘Batuli’, ameeleza sababu zinazochangia yeye kutoolewa kuwa ni umaarufu wake.
Akizungumza  pande za Mlimani City jijini, alisema kuwa wanaume wamekuwa wakiwahofia kwa sababu wao ni mastaa kama wengi wanavyoamini ukimuoa staa umeumia.“Natamani sana kuolewa ila wanaume ndiyo tatizo, wanatuhofia sisi mastaa, nawaambia wasiwe na hofu na mimi kwani nimetokea kwenye familia bora ambayo imenilea vyema,” alisema Batuli.
 BATULI2.jpg Yobnes Yusuph ‘Batuli’.
Powered by Blogger.