Baada ya kutoka Mbeya, Arusha imempokea hivi Lowassa leo
Safari ya Mgombea Urais wa UKAWA, Edward Ngoyai Lowassa kutafuta wadhamini, baada ya kutoka Mbeya jana, leo August 15 2015 safari imeendelea Arusha.
PICHA KWA HISANI YA MILLARDAYO.COM
Watu wa Usalama kwenye kazi yao kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa.
Picha ya juu kabisa, watu wa Arusha walivyokuwa wakimsubiria Lowassa Viwanja vya Tindigani.

Post a Comment