ad

ad

Wema Sepetu kashindwa viti maalumu Singida...Matokeo yapo hapa


Wema Sepetu bahati imekuwa sio yake, baada ya kushindwa katika uchaguzi wa viti maalumu katika mkoa wa Singida.
wemaa-na-kadinda
Meneja wa Wema sepetu ameandika kuhusu kushindwa kwa Wema Sepetu katika uchaguzi huo…Katika Mtandao wa Twitter Martin Kadinda ameandika “Haikuwa vile tulivyotarajia… Hongera Aysharose Mattembe”.
Powered by Blogger.