Pierre Nkurunziza ashinda uchaguzi wa Burundi
Hii itakuwa ni awamu ya tatu ya Nkurunzinza kushinda Urais katika
nchi ya Burundi..Burundi inakabiliwa na ukosefu wa amani huku nchi hiyo
ikiwa na idadi kubwa ya wakimbizi katika nchi mbalimbali kama Tanzania.
Uchaguzi ulifanyika japo kulikuwa na mvutano wa hapa na pale na vyama vya upinzani.Matokeo yametolewa July 24 2015 na matokeo yameonesha Rais Nkurunziza ameshinda tena Uchaguzi huo kwa kupata 69.4% ya kura na kumshinda mpinzani wake wa karibuAgothon Ruwasa aliyepata 18.9 %.

Post a Comment