TAMBWE NA SHERMAN 'WALIVYOSHIKANA' LEO MAZOEZINI YANGA SC, MRUNDI ALISALIMU AMRI KWA MLIBERIA
![]() |
| Lakini baadaye Tambwe alizidiwa na Sherman, ingawa mwenyewe akasema mchanga umemuingia jichoni |
![]() |
| Kocha Hans van der Pluijm akambadilishia Tambwe 'mpinzani' na kumpa beki Edward Charles |
![]() | ||
| Tambwe naye akahamishiwa kwa Oscar Joshua, ambaye huyo walitoana naye jasho |
CHANZO: BIN ZUBEIRY.COM





Post a Comment