ad

ad

Taharuki Dar es Salaam: Abiria wajeruhiwa kwa kisu, mhusika auawa na wananchi

Mtu mmoja aliyekuwa abiria ndani ya daladala lililokuwa likitoka mjini kuelekea Makumbusho amewashambulia kwa kisu abiria kadhaa ndani ya gari maeneo ya Magomeni na kuwasababishia majeraha makubwa, majeruhi wote wamekimbizwa Mwananyamala. Mshambuliaji huyo ameuawa na wananchi wenye hasira. Hadi sasa haijafahamika nini lililkuwa lengo la mshambuliaji huyo.

CHANZO: JAMIIFORUMS
Powered by Blogger.