ad

ad

SINGANO ASHINDA KESI YA KIMKATABA KATI YAKE NA SIMBA


TFF imemtangaza mchezaji Ramadhani Singano 'Messi' kuwa mchezaji huru kwa madai kuwa Simba ilikiuka masharti na hivyo kusababisha mkataba huo kuvunjika.
Powered by Blogger.